RADIO ONDESE FM

Radio communautaire émettant de KILIBA, à l'Est de la République Démocratique du Congo

KILIBA: Maisha ya mwanamuziki HERCUS MC, yashangaza mashabiki wake bondeni ruzizi

IMG-20170608-WA0076MAJINA

Mwanamuziki Dieumerci MATENGA kwajina la maharufu HERCUS MC amezaliwa pa Kiliba munamo tarehe 15 November 1994, akiwa mtoto wa 3 katika watoto 3 ndani ya familia yao.  Mama yake mzazi alikuwa anaitwa kwajina la ANIFA DEO na baba yake mzazi alikuwa naitwa MAHANGAIKO RUHIMBAZA jina ya maarufu MPENDARAHA. HEURCUS MC ni mzaliwa wa kabila la wa fuliru katika cité ya Kiliba-Kagando, tarafani Uvira. Kwa ufupi, mwanamuziki HEURCUS ni yatima wa baba na mama tangu myaka kazaa.

MASOMO NA MAISHA

Katika mwaka wa 2000, mwanamuzi HEURCUS MC walienda yeye na  mama yake muzazi inchini Tanzania kama wakimbizi na kufikia mujini Kigoma, uko, akawekwa shuleni, akasoma somo la kwanza la msingi ( première primaire) hadi darasa la inne (4e primaire),  ilipofika mwaka wa 2005 mama mama yake mzazi aka fariki dunia. Baada tu ya kufariki ivyo kwa mama yake mzazi, ikawa vigumu kwa mwanamziki huyu kwendelea na masomo. Ilipo fika mwaka wa 2006 akasafirishwa na mrafiki wa mamae mzazi kama yatima (mtu asiye kuwa na ndugu) Uvira, inchini jamuhuri ya kidemocratia ya Congo. Alipo fika inchini congo, mwana mziki HEURCUS ame pokelewa na wajomba zake na kuishi kwa bibi yake mzala mama yake  ajulikanae kwajina la MARIA. Baada ya myezi kazaa, wajomba zake pamoja na bibiye waka amuwa kumurudisha shuleni, kwa baati mbaya mwaka 2009 bibi yake ama tate kwa kiswahili ya Congo, naye aka fariki.

Mwana mziki HEURCUS kwa baati nzuri aka pata msaidizi kwenye shule iloilo ambako alikuwa nasomea na hapo kasisi (Directeur) wa shule hilo ndiye akaanza sasa mulipia ada za shule hadi kufikia kidato cha tano (5e primaire) kabla kasisi uyu kumu simamisha na kukataa nae kumulipia tena ada za shule ivo mwanamuziki HEURCUS akakosa wakumulipia ika bidi aikae bila kusoma.

Munamo mwaka wa 2011 aka jiusisha na kazi ya mikono hadi mwaka 2014 ambamo amepata habari kuusu kuwepo kwa babae mzazi pa Kiliba, bondeni ruzizi kwa baati mbaya, alipo fika jijini Kiliba, aka ambiwa kwamba babae mzazi nae alikufaka. Baada ya kuishiwa na maisha ya kumupoteza mama inchini Tanzania na badae kuambiliwa kwamba babae mzazi nae alikufaka, mwana mziki HEURCUS aka amuwa kuishi sasa jijini Kiliba karibu ya ndugu wa baba yake. Ilipo fika mwaka wa 2015 HEURCUS MC aka owa binti wa hapo hapo jijini Kiliba hadi leo (juny 2017) kabla ya kujifunza mufumo wa kisasa wa computer (imformatique).

MUZIKI :

Mwanamziki HEURCUS MC alianza mziki mwaka wa 2017.  Alianza yeye pekeyake kuimba bila kufunzwa na mutu na hapo aka anza mazoezi ya mingi, hadi kingiya studio na kuimba kwa mara ya kwanza  katika mziki wa umoja wa wasanii wote wa Kiliba-Kabulimbo ‘’All STARS KILIBA’’ bahati mbaya mziki aiku tokaka, ika fika mach 2017aka amuwa kumshirikisha msanii wa hapo hapo Kiliba ajulikanae kwajina la LATINO MAFYA, baada yaku toa iyo mziki ilio itwa ‘’I LOVE YOU’’; badae akatowa ingine singole moja mwezi wa april 2017 na msanii mwengine wa Kiliba jina lake OLIX GOLD ambayo mziki iyo ili itwa MAPENZI, katika mwezi ule ule wa  april 2017. Baada yakupatwa na utamu na laza ya mziki alizo ziimba na pia kuleta mchango wake katika maendeleo ya Kiliba kwa ujumla, na Radio ONDESE FM kwa upeke, HEURCUS MC aka ingiya studio na kutowa mziki unao zungumzia hali alisi ya redio hii na historia fupi ya uundwaji wa ROFM. Muziki yenyewe inaitwa ‘’ONDESE FM RADIO ORGINALE’’.

Mwanamziki HEURCUS MC ambae hadi sasa ajapata manager ama sponsor ili aendeleshe vema kipaji chake cha muzi. Uta faamu kwamba, mwanamuziki uyu chipukizi ni mwanamuziki ambae hamuigi mwanamuziki yeyote ulimwenguni bali anapenda aimbe kama yeye bali sikama fulani.

Mwanamuziki HEURCUS MC, bado anaitaji msaada yakila mwenye moyo mwema ili aendeleze kipaji chake mbele,  napia aendelee ku peperusha bendera ya Kiliba inje ya bonde la Ruzizi.

Publicités

Un commentaire sur “KILIBA: Maisha ya mwanamuziki HERCUS MC, yashangaza mashabiki wake bondeni ruzizi

  1. raphael jeremy
    6 septembre 2017

    asante sana kwa istoria kama na ivo azidi ombi kwa allah amnusuru

    J'aime

Répondre

Entrez vos coordonnées ci-dessous ou cliquez sur une icône pour vous connecter:

Logo WordPress.com

Vous commentez à l'aide de votre compte WordPress.com. Déconnexion /  Changer )

Photo Google

Vous commentez à l'aide de votre compte Google. Déconnexion /  Changer )

Image Twitter

Vous commentez à l'aide de votre compte Twitter. Déconnexion /  Changer )

Photo Facebook

Vous commentez à l'aide de votre compte Facebook. Déconnexion /  Changer )

Connexion à %s

Information

Cette entrée a été publiée le 10 juin 2017 par dans Music, Promotion, Uvira.
%d blogueurs aiment cette page :